Msichana Linda Ogutu mkazi wa jijini Nairobi, majuzi alijikuta yuko mikononi mwa Polisi baada ya kuhusika na vitendo kadhaa vya kuiba vitu kwenye magari. Amekuwa mkweli mbele ya wanahabari juu ya uhalifu wake huo anaofanya na wenzake lakini kubwa amesema ni kupata pesa za kujikimu na kupata kete za madawa ya kulevya.
Najaribu kupata picha; binti huyu angechukua mkondo mwingine wa maisha pengine angekuwa mbali sana badala ya kuchukua njia hii ya mkato...wewe je unasemaje!
Ni hapa...
Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!
Posted by
BM.
on
Saturday, March 06, 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment