Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Saturday, May 15, 2010

Ijumaa ya tarehe 14 , May , wafanyakazi wa Redio Japani waliwaaga watangazaji wa Idhaa ya kiswahili Ruth Ndungu na Reginald Ndesika waliomaliza kipindi chao cha mkataba na NHK. Ilikuwa hafla ya kupendeza na ya kusisimua mno. Unaweza kufuatilia kilichotokea kwa njia ya picha..




Viongozi waandamzi wa NHK walikuwepo katika hafla hiyo..


Eneo la tukio...


Kamarade Ndesika , Fundi Mitambo wa NHK reiko Iwami na miye...


Bahati iliyoje kupiga picha muhimu kama hii na Mkuu wangu wa kazi>>>.


Mtangazaji Ruth Ndungu ndani ya kimono katika hafla ya kuagwa


Jirani yangu Bongo; mama Frank naye aliagwa leo hapa Tokyo baada ya kukaa nchini Japani kwa miaka sita mfululizo...katika hafla hiyo alitoa hotuba yake kwa kijapani...


Watangazaji wa Idhaa ya Kiarabu ambao wote wanatoka nchi za Misri na Morocco Kaskazini mwa Afrika walikuwepo na Mkuu wa idhaa hiyo kushoto kabisa!

Picha ya pamoja

1 comments:

Anonymous said...

Hongera sana ndugu Reginald Ndesika kwa kumaliza salama utendaji wako ndani ya NHK na sasa karibu nyumbani Tanzania tuendelee kulisukuma gurudumu la Kiswahili.