Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Saturday, May 15, 2010


Ilikuwa zamu ya Wakuu wa Idhaa ya Kiswahili kuongea ....haikuwa rahisi hivyo...


Pamoja na simanzi ya kuwaaga makomredi...Kiongozi Mwandamizi wa Idhaa ya Kiswahili Yuko Asano aliendelea kuelezea juu ya tabia za kila mtu katika kipindi cha kuwepo kwao Redio Japani, Mchango wake katika kusukuma gurudumu la idhaa na jinsi tutakavyowamiss waheshimiwa..Kilikuwa kipindi cha utulivu ukumbini.....Utulivu>>>>>>>


Kula na kusikiliza; Bi. Fatma Mohamed na Chiho Yamada katika meza kuu...<


Ilikuwa wakati muafaka wa kutoa hoja zinazowiana na masuala ya Oktoba kuo TZ...Dr. Kamu..Mkinichagua!...


Mmoja wa watangazaji wa RJ Mareen Waweru akifurahia simulizi za Mkubwa ,Dr. Kamu.

0 comments: