Watu mashuhuri; (L-R)Grace Mossongo, Specioza Amani na Anna Kwambaza , hakuna kitakachoharibika!
Menyuuu ilizingatiwa pia...>>>>>
Nipo karibu na kamarade Ndesika katika mnuso<
Mtangazaji anayechukua nafasi ya Reginald Ndesika, Bi. Anna Kwambaza naye alikuwepo katika hafla hiyo...
Edward kadilo,(Kushoto) mmoja wa watangazaji wa RJ akisisitiza jambo mbele ya Kiongozi mwandamizi wa Idhaa ya Kiswahili Kaori Note.
Kila mtu alimwandikia lake kwenye kadi ya zawadi!
Ni hapa...
Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!
Posted by
BM.
on
Saturday, May 15, 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
1 comments:
HONGERA SANA NDG REGINALD KWA UTENDAJI WAKO NDANI YA REDIO JAPAN NA SASA TUNAKUKARIBISHA NYUMBANI KWA UTENDAJI ZAIDI.
R.Njau
Dar TZ.
Post a Comment