Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Wednesday, June 16, 2010

Kuna kitu kwa kisukuma kinaitwa Investigative journalism ama kwa kiswahili uandishi wa habari za kiuchunguzi katika fani ya uandishi wa habari. Mwandishi huyu wa KTN Kenya Mohamed Ally ameifanya aina hii ya uandishi kwa umahiri wa kiasi cha kutosha , pengine alikosa tu vifaa vya kisasa zaidi. Hebu ungana naye halafu unipe maoni yako.

1 comments:

Anonymous said...

HUYU NI MWANAZUONI MAHIRI NA MAKINI KATIKA TASNIA YA HABARI NA MAWASILIANO KWA UMMA.NI JUKUMU LA MADHAMANA KUMPATIA MISAADA KAMILI ILI AENDELEE KUUTUMIKIA UMMA KWA UFANISI.