Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Sunday, July 04, 2010

Mtangazaji wa NHK , Ana Kwambaza akila pozi kabla hajakwenda hewani ...Muda tu unasubiriwa bass!

Edward Kadilo, mmoja wa Watangazaji wa Idhaa ya kiswahili ya Redio Japani _NHK akisoma taarifa ya habari .

3 comments:

Anonymous said...

HONGERENI SANA WADAU WANGU WA IDHAA YA KISWAHILI YA REDIO JAPANI.TUNAHITAJI MABADILIKO ZAIDI KATIKA IDHAA HII ILI IWEZE KUKIDHI KIU YA WAKAZI WA PWANI YA AFRIKA MASHARIKI NA MAZIWA MAKUU KWA UJUMLA.
"Sayonara"

ray njau said...

Naamini kuwa pongezi zangu na shukrani zangu zimewafikia vema hapo idhaa ya Kiswahili-NHK.
R.Njau
Dar es salaam
Tanzania.

ray njau said...

MABADILIKO NI MUHIMU SANA NDANI YA IDHAA YA KISWAHILI-NHK KATIKA MSIMU WA MAADHIMISHO YA MIAKA 75.PWANI YA AFRIKA MASHARIKI NA MAZIWA MAKUU KWA UJUMLA TUNAHITAJI LADHA TOFAUTI TOFAUTI NA IDHAA HII NI MUHIMU SANA KWETU.NAAMINI SASA NI WAKATI UFAAO WA KUIELEZEA DUNIA KWA KINA TAMADUNI ZA AFRIKA MASHARIKI NA UKUZI WA SAYANSI NA TEKNOLOJIA KATIKA ENEO HILI KULIKO KUTUMIA MUDA MWINGI KWA AJILI YA KUIELEZEA JAPAN NA CHINA.