Goli la nne la ujerumani dhidi ya Argentina...Stricker Moroslav Klose akiwatoka walinzi na hatimaye kipa Sergio Romero na kupachika bao. Ujerumani 4 Argentina 0. Ujerumani wamenika nusu ya safari ya kileleni.
Mkereketwa wa soka Afrika Kusini Khalifa Msulwa akiwa amejiandaa vilivyo kuhanikiza vuvuzela katika mechi za robo fainali kombe la dunia. Hata hivyo anasema kutolewa kwa Afrika hasa Ghana na Bafana bafana kumewaumiza roho sana...Komred hata siye...ndio gem!
Lazima kielewe kwa timu za frika..
Mdau Khalifa akiwa na wife wake Mama NUR.wakiishangilia Ghana ambayo hatimaye ilifunga virago..
Ni hapa...
Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!
Posted by
BM.
on
Sunday, July 04, 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment