Ni mazingaombwe au!
Kijana mmoja nchini Uhispania amekuwa akiwakusanya watu katika jiji la San Juan Petro Manrique kwa kubeba watu mgongoni na kukanyaga kokote zilizokolezwa moto akiwa miguu wazi. Hata haonyeshi kushituka. Ni mazingaombwe au miguu sugu?
MAMIA WASHUHUDIA UZINDUZI WA SAMIA LEGAL AID MKOANI PWANI
20 minutes ago
0 comments:
Post a Comment