Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Sunday, August 01, 2010


Eneo hili nimelipenda sana lipo mjini Arusha , wajasiriamali wanauza bidhaa za kitamaduni...jambo bei yake pia inapendeza...inawalipa...take five wote wanajishughulisha hapo.


Kiota kipya kinachotamba hivi sasa mjini Arusha , Kipo karibu kabisa na Polisi Mkoa kwa supu na ugali mwepesi...hakuna maswali..

0 comments: