Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Sunday, August 01, 2010


Makomredi George (kushoto) na Aloysi (Kulia), wadau muhimu sana . Ilikuwa Mounti Uluguru Hotel, Morogoro.


Uso kwa uso na Komredi Ndesika...Kilikuwa kipindi kizuri sana kwa hakika!

2 comments:

Anonymous said...

Makomredi hongereni kwa kukutana uso kwa macho.Komredi Ndesika toka arejee nyumbani Tanzania amedumisha ukimya sana kwa wadau wake.Tafadhali komredi tujuliane hali.

Anonymous said...

ujumbe delivad