Kasilda Mgeni...mwandishi wa Star TV -Morogoro , mara baada ya kutangazwa kuwa mshindi kura za maoni...pembeni yake ni naibu waziri wa Ulinzi na jeshi la Kujnga taifa Mh. Emannuel Nchimbi, ni miongoni mwa waliompongeza..
...Nkamia ashinda...
Mh. Mtarajiwa katikati Juma nkamia katika picha ya pamoja na (Kutoka Kushoto)Khadija Riyami ,Mh. Wilson Masilingi ambaye ameangushwa kura ya maoni, Juma Nkamia , Afisa ubalozi wa Tanzania nchini Marekani Suleiman Salehe, Mh. Juma Killimba., Mtangazaji wa VOA, Mkaiti Kibayasi na Bi. Mariam Kurtz.
Ni hapa...
Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!
Posted by
BM.
on
Sunday, August 08, 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment