Ilikuwa likizo fupi ya mwezi , nyumbani...hatimaye nimerejea kijiweni...Awamu kwa awamu nitakuwa nikipakuwa picha za Bongo...usicheze mbali.
Kamaade Ndesika alikuwepo Mwl.J.K.Nyerere Airport , Mdau Mr. Mwishehe na Ma-ammy...
...na familia...
Mbwembwe za Dubai Aiport..
Narita Airport..
Ni hapa...
Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
2 comments:
Pole kwa safari jirani. Asante kwa picha na updates.
Asante..Shukuran sana...
Post a Comment