Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Sunday, August 08, 2010

Nilibahatika kutembelea Kituo cha starehe kwa watu makini, Kiluvya Pub, kilichopo Kiluvya , maeneo ya Kibaha,nikiwa nujiani kwenda Airport..kurejea Japani. Pako juu.
Karibu yake kuna kituo cha intaneti...na kuonana na Mkurugenzi wake...Ukifika Dar jaribu kwenda hapo siku yako hautaijutia. Kiluvya Internet...


Niko na Mkurugenzi wa Kiluvya Pub , Robert Luwanda...


Kiluvya Pub , Kituo cha starehe kwa watu makini....

0 comments: