Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Sunday, August 08, 2010

Staili hiyo ya ajabu iliyopewa jina la "Flylashes", ilitengenezwa na kuwekwa online na msanii Jessica Harrison.
Video ya staili hiyo imekuwa gumzo online lakini imekumbwa na shutuma kali toka kwa makundi ya kutetea haki za wanyama PETA.
Msanii huyo hakuelezea aliipataje miguu mingi ya nzi aliyoitumia na hakutaka kutoa maelezo yoyote alipotakiwa kufanyiwa hivyo. Unaweza kuangalia hapo chini kwenye video.
object width="640" height="385">

0 comments: