Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Saturday, September 11, 2010

Kijana kutoka Tunduru , Mustapha Abdallah amekamilisha ziara yake hapa Japani siku za karibuni baada ya kufanya maonyesho kadhaa ya michoro ya Tingatinga hapa Japani.
Nilibahatika kuongea naye na wafadhili wake waliomleta hapa...



ukitaka kusikiliza mahojiano hayo unaweza kubofya hapo kulia kwenye kolamu ya MARAFIKI....chini hapo kuna neno NHK WORLD Swahili. Nenda kwenye picha yake, Bofya na msikilize...

Kwa hisani kubwa ya NHK World..

5 comments:

Subi Nukta said...

Shukrani sana NHK Japan na Msulwa kwa mahojiano haya na bwana Mustapha.

Nasubiri mahojiano ya akina Shimauka!

Subi Nukta said...

Bro Msulwa, never mind, hakuna kusubiri, nimeona picha ya Shimauka na nimebofya, sasa nasikiliza mahojiano yako na jamaa hao.

Anonymous said...

Asante sana Da Subi, Hii inanipa sana moyo, nakubali.

malkiory said...

Heri ya Eid Bakari! nafurahia sana style yako ya utangazaji. Keep it up.

Anonymous said...

Asante sana Mkuu, wasalimie wafini wote huko...one day!