Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Thursday, September 09, 2010

Jana kulikuwa na mvua kubwa sana katika maeneo mengi ya Japani.Watabiri wa hali ya hewa wanasema kulikuwa na kimbunga na kwamba maeneo ya mwambao hususan jiji la Tokyo lingekumbwa na mvua na kweli ilitokea.

Picha hii niliinasa katika mitaa iliyopo maeneo ya Kanda na Tokyo , ilikuwa patashika.

0 comments: