Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Thursday, September 09, 2010

Waislamu kote ulimwengu leo wanakamilisha funga ya mwezi mtukufu wa Ramadhani baada ya kufunga na kujizuia kufanya mambo yanayomchukiza Mungu kwa kipindi cha mwezi mzima. Waislamu walio wengi kesho Ijumaa watafanya ibada ya Eid el fitri ingawa baadhi ya madhehebu walisherekea sikuu hii leo.
MIRINDIMO inakupa mkono wa Eid , Eid Mubarak......Qasda...Kama ingelikuwa kule kwetu ...Dufu hapo ndio mahali pake..

0 comments: