Leo nilikuwa na shughuli za kikazi katika jiji la Yokohama,Jiji jirani na lile la Tokyo hapa Japani . Pamoja na jukumu lililonipeleka hapo kamera yangu imenasa mambo kadhaa. Unaonaje ukanifuata nikuonyeshe baadhi ya mambo niliyoyaona!
Nimeshuka kwenye treni hapo Yamashitacho...taratibu jina hilo!
Moja ya mitaa maarufu inayotizamana na bahari jijini Yokohama.
Jiji la Yokohama liko ndani ya Mkoa wa Kanagawa na ndio makao makuu ya Mkoa huo. Hapa ni ofisi ya mkuu wa Mkoa. Ni Ilala Bomani ya Kanagawa!
Ni hapa...
Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!
Posted by
BM.
on
Friday, September 03, 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment