Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Friday, September 03, 2010


Jamaa kakamatwa na Afisa wa Polisi baada ya kupita kwenye taa barabarani wakati bado iko Njano. Hapa anaelezwa na Polisi makosa yake lakini kwa unyenyekevu mkubwa. Picha nimepiga kwa wasiwasi nikaogopa kurestishwa!

Nikazuum camera yangu ...aah nikampata. huyu ni Afisa wa Polisi alikuwa akimuandikia makosa yake dereva wa gari hilo ili akalipe faini. Lakini kwa unyenyekevu mkubwa alichuchumaa na kuanza kumueleza makosa yake. na baadaye akaonyesha ishara ya kupiga magoti..nilishangaa sana!. Kwa Japani madereva ni wateja na wanapokosea uchungu wanauona kwenye adhabu na wala si kwenye sura za maafande...hii unaionaje!

0 comments: