Mwanamuziki huyu Malkia Nvannungi ni moto wa kuotea mbali kule nchini Uganda unaweza kusikiliza nyimbo zake hizo mbili....ya kwanza Doctor na ya pili hapo chini ameimba na Q-Chillar kutoka Tanzania ... kama wewe ni mpenzi wa rumba la taratibu naamini utasuuzike......take 5, Nvannungi nakukubali...
Nakupenda...
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWASILI BELARUS
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment