Tulialikwa , tukahudhuria...Ni chakula cha pamoja katika mgahawa wa Sizeria , Shinjuku....jijini Tokyo, na baadaye ilifuata Hotuba ya 'mgeni rasmi' Kidume wa USWAZI......itifaki ya mahala hapo ilizingatiwa..
Haitebo
Waandamizi...
Mirindimo iliwakilishwa...
Tumeshiba...picha ya kumbukumbu ...Pwaa!
DKT. MAPONGA:NCHI ZA AFRIKA ZISHIKAMANE KUTIMIZA NDOTO
10 minutes ago

0 comments:
Post a Comment