Dr. Jakaya Mrisho Kikwete akila kiapo mbele ya Jaji Mkuu wa Tanzania Mh. Augustino Ramadhani kuitumikia nafasi ya Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka mitano ijayo baada ya kushinda uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 31 kwa kupata ushindi wa asilimia 61.
Dr. mohamed Gharib Billal , Makamu wa Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania akila kiapo kushika wadhifa huo.
Maagizo ya rais ni nini?
3 hours ago
0 comments:
Post a Comment