Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Thursday, February 03, 2011

Shati ya juliana la kubana , suruali ya Climpling,viatu angalau ngazi tatu raizon, kitambaa kidogo kimejitokeza kwenye mfuko wa Suruali na nywele zimepigwa Afro... Hapo humwambii kitu mtu! Kwa wadada Suruali zimeingia; zinabana na fulana za sweta. Mafuta ya nazi yaliyowekwa karafuu baada ya mtu kuogea Revola ...viatu vya mchuchumio,kijileso cheupe mkononi , afro kichwani na lipstik ya kufa mtu....hatumwi mtu...

0 comments: