Kuna mdau kaniletea hii picha na maelezo kuwa...Mti huu ukibahatika kuuona , chimba kamzizi kake chemsha , kunywa nusu kijiko cha chai....magonjwa yote sugu yanaondoka ndani ya saa moja....lakini utakayokutana nayo usimwambie mtu duh...
Shukran mdau...
MAAFISA NA WAPIGANAJI VIKOSI VYA SMZ WATAKIWA KUWA WAZALENDO
31 minutes ago
0 comments:
Post a Comment