Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Monday, August 22, 2011

Kituo changu cha kwanza kilikuwa makaburini...eneo alipozikwa baba yangu mzazi miaka mitano iliyopita. Eneo hilo pia wamezikwa ndugu zangu wengine. Nimefarijika kufika hapo na baadaye kuwatilia ubani na kufanya dua. Ni mwanzo wa ziara yangu ya likizo.

2 comments:

Anonymous said...

Hongera Mr.Msulwa kwa kwenda nyumbani kuungana na ndugu na wanafamilia pia kuzuru makaburi na kufanya kisomo kuwakumbuka marehemu,hilo ni jambo la maana sana hasa kwa sisi tunaoishi mbali na nyumbani,ni vizuri sana kufanya hivyo ili kupata baraka pia kuongeza nguvu"spirit" ya kuweza kuja kukabiliana na majukumu yetu huku ugaibuni.Inaonekana likizo yako ilikuwa fupi sana lakini umefanya mambo ya maana,mwenyeezi mungu atakuzidishia baraka.
Abbu Omar,Prof.Jnr,(Mwanamuziki)Kanagawa-ken.

BM. said...

Asante sana Prof Abuu Omar kwa comment yako. Nakualiana nawe kwa asilimia zote , asante sana.
BM