Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Wednesday, September 07, 2011

Mabaki ya magari yaliyoharibika kutokana na tetemeko la ardhi na mawimbi ya tsunami yakiwa yamewekwa kama kifusi kikubwa cha takataka katika eneo la Kesennuma, mkoa wa Miyagi Hapa japani.
Ni mezi sita sasa imepita tangu tukio hilo litokee lakini zoezi la kukusanya maelfu ya magari yaliyobondeka na mabaki... bado linaendelea katika miji ya pwani ya kaskazini Mashariki .www.japantoday.com
Dah... hasara ishakuwa!

0 comments: