Lucky ni mmoja wa wasanii wachache ambao waliweza kujenga TASWIRA HALISI ya kile ambacho alikuwa akikiimba. Alikuwa mmoja wa wachache waliokuwa wakijenga taswira ya kweli kwenye kazi zake. Nimemfuatilia kwa muda na nimejifunza na bado najifunza. Ukisema tuelezee UWEZO WAKE KIKAZI itachukua siku nzima kufanya hivyo. Katika moja ya vipindi vya reggae ninavyoshiriki katika kituo cha Pride FM cha Mtwara nilizungumzia fikra zake kwenye tungo zake. Waweza kuzirejea fikra hizo kwa kusikiliza kipengele nilichoeleza mtazamo wangu kuhusu Lucky Dube hapa http://www.archive.org/details/TokaKisogoniMwaLuckyDube_231
1 comments:
Lucky ni mmoja wa wasanii wachache ambao waliweza kujenga TASWIRA HALISI ya kile ambacho alikuwa akikiimba. Alikuwa mmoja wa wachache waliokuwa wakijenga taswira ya kweli kwenye kazi zake. Nimemfuatilia kwa muda na nimejifunza na bado najifunza. Ukisema tuelezee UWEZO WAKE KIKAZI itachukua siku nzima kufanya hivyo.
Katika moja ya vipindi vya reggae ninavyoshiriki katika kituo cha Pride FM cha Mtwara nilizungumzia fikra zake kwenye tungo zake.
Waweza kuzirejea fikra hizo kwa kusikiliza kipengele nilichoeleza mtazamo wangu kuhusu Lucky Dube hapa http://www.archive.org/details/TokaKisogoniMwaLuckyDube_231
Post a Comment