Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Sunday, February 05, 2012

Heri ya Maulid Nabiy S.A.W.
Wapenzi wa Mirindimo hususan waislamu wenzangu, nawatakia maadhimisho mema ya siku hii ya kuzaliwa Mtume wetu mtukufu Muhamad SAW..Mungu awajaze Kheri

0 comments: