Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Friday, October 31, 2008

Punguza...nanihii..

Posted by BM. on Friday, October 31, 2008

Huyu Jamaa (Kulia) anaitwa Generali Laurent Nkunda , mhitimu wa Chuo Kikuu masuala ya saikolojia ndiye anayeongoza vita kikosi cha waasi huko DRC.
Umoja wa Mataifa umesema una wasiwasi na hali za maelfu ya watu wanaoukimbia mji wa Goma. Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa mbali na kulaani ghasia hizo limemtaka kiongozi wa waasi kutekeleza uamuzi wake wa kusimamisha mapigano.
Watu wengi waliokimbia mapigano hayo kwa sasa wanaishi katika majengo ya shule, makanisa na wengine wanalala nje. Jana Alhamisi Kiongozi wa waasi wa CNDP Laurent Nkunda, ambaye wapiganaji wake wapo nje kidogo ya mji wa Goma, ametangaza kusimamisha mapigano na kuzitaka pande nyingine zinazohusika na mzozo huo kufanya hivyo pia. Hebu fuatilia picha nyingine za machafuko hayo.

Posted by BM. on Friday, October 31, 2008

Wakimbizi walio ndani ya nchi yao wakiyahama makambi yao na kwenda maeneo mengine kukimbia vita.

Posted by BM. on Friday, October 31, 2008

Maelfu ya wakazi wa kambi ya wakimbizi ya Kibati-DRC wkikimbia kambi yao eneo la Goma baada ya majeshi ya waasi kuvamia eneo hilo. Inasikitishaa!

Posted by BM. on Friday, October 31, 2008

Wanajeshi wa Nkunda wakijiandaa kufanya mashambulizi..

UN

Posted by BM. on Friday, October 31, 2008

Pamoja na Baraza la Usalama kulaani vitendo hivyo , tayari majeshi ya UN yameingia Goma ingawa hali inatajwa kuwa si nzuri.

Posted by BM. on Thursday, October 30, 2008

Dr. Kamugisha wa Chuo Kikuu cha Waseda hapa Japan akitoa maelezo juu ya mtambo uliopo katika maabara chuoni hapo kwa wageni waliokitembelea Chuo Kikuu hicho siku za karibuni.

Posted by BM. on Thursday, October 30, 2008

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Beijing alifanya ziara ya kitaaluma katika Chuo Kikuu cha Waseda hapa Japani . Hapo ni sehemu ya maabara ya utafiti na kushoto kabisa ni Dr. Kamugisha Kazaura akitoa maelezo

Posted by BM. on Thursday, October 30, 2008

Huyu ni Prof. Achinua Achebe. Kwa wale wasomaji wa vitabu vya fasihi mashuleni huko watamkumbuka . Nakukumbusha tu!

Posted by BM. on Monday, October 27, 2008

Mkazi mmoja wa Marekani akipita katika mitaa ya Pennsylvania katika maandamano ya uendeshaji baiskeli bila nguo kupeleka ujumbe duniani juu ya masuala la ongezeko la bei ya mafuta . Huu ni uhuru au ulevi (Sio wa pombe p/se!)

Posted by BM. on Sunday, October 26, 2008

Raisi Jenerali Joseph Kabila wa jamuhuri ya Kidemokrasi ya Kongo na mkewe Bi. Marie Olive Lembe katika hafla ya kitaifa mjini Kinshasa siku za karibuni.

Posted by BM. on Sunday, October 26, 2008

Leo jijini Tokyo kulifanyika maonyesho ya bidhaa mbalimbali kunzia za mashambani, madini , misitu , viwandani , ubunifu na burudani. Maelfu wa raia kutoka mataifa mbalimbali walijumuika wengi wakiwa wenyeji wajapani. Siku ilipendeza..

Posted by BM. on Sunday, October 26, 2008

Kama nane nane fulani hivi!

Posted by BM. on Sunday, October 26, 2008

Jamaa alikuwa kivutio sana tu , alikuwa akiyeyusha glass na kutengeneza shepu anayotaka ..

Posted by BM. on Sunday, October 26, 2008

Jamaa walikuwepo.

Posted by BM. on Sunday, October 26, 2008

Hilo shati limetengenezwa kwa magome ya miti na vumbi la mbao ..hawa jamaa wabunifu

Posted by BM. on Sunday, October 26, 2008

Samaki wa mtungo , staili nzuri ya uchomaji samaki , ruksa ku- kopi naku-pesti.

Posted by BM. on Sunday, October 26, 2008

Matukio yote live kupita Radi Freedom Fm ...frikwensi angalia chini hapo..

Posted by BM. on Sunday, October 26, 2008

Lilikuwa onyesho lililoonekana kukubalika sana hii leo.

Posted by BM. on Sunday, October 26, 2008

Posted by BM. on Sunday, October 26, 2008

Katika kusherehesha mbio za kuelekea Ikulu baadhi ya majarida nchini Marekani yamekuwa yakijitahidi kila kukicha kubuni picha na vikatuni vya wagombea. Kama inavyoonekana Barack Obama * Demokratik" na Sarah Palin -Mwenza wa Mgombea kwa tiketi ya Pepublican

Posted by BM. on Saturday, October 25, 2008

maandalizi ya kipindi cha mazoezi cha Runinga , mazingira ya studio..

Posted by BM. on Saturday, October 25, 2008

Kipindi cha TV kinahitaji nyenzo na rasilimali watu..

Posted by BM. on Saturday, October 25, 2008

Uwajibikaji ili kupata kitu kizuri.

Posted by BM. on Friday, October 24, 2008

Siku Raisi Kikwete alipokitembelea kijiji alichozaliwa Mh. Mkapa cha Lupaso kilichopo wilayani Masasi na ndipo alipoalikwa nyumbani kwa mstaafu .

Posted by BM. on Friday, October 24, 2008

Raisi wa Burundi Pierre Nkurunziza na mgeni wake Raisi Jakaya Kikwete alipoitembelea nchi hiyo.

Posted by BM. on Friday, October 24, 2008

Mwanamke kutoka kabila la Surma nchini Ethiopia na kisahani cha ndonya , mapambo muhimu kama unataka kupata mchumba katika kabila hilo. Bunduki hiyo aliyoibeba ni ya mume wake. Kabila hilo ndilo lililo katika vita na makabila jirani yao ya Sudani . Bara letu hilo.

Posted by BM. on Friday, October 24, 2008

Mwenyekiti wa AU na Raisi wa Tanzania Mh. Jakaya Mrisho Kikwete ..na mie kidogo pembeni.

Posted by BM. on Friday, October 24, 2008

Ghala la kilaji eneo la Shibuya, Tokyo ukiwa na ubavu jianzishie ..

V..

Posted by BM. on Friday, October 24, 2008

V . Alama muhimu katika upigaji wa picha za kirafiki Japani

Posted by BM. on Thursday, October 23, 2008

Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Bi. Condolezza Rice *kushoto* akiwa na Raisi wa Libya Mu'ammar Abu Minyar al-Qadhafi. Jamaa uhusiano wao unarudi kwa kasi.

Posted by BM. on Wednesday, October 22, 2008

Obama yuko Hawaii ambako amekwenda kumuuguza bibi yake Madelyn Dunham mwenye umri wa miaka 85 anayeonekana pichani. Bibi huyo alimlea Barack baada ya wazazi wake kufariki. Inaripotiwa kuwa aliteleza na kuvunjika kiuno.

Posted by BM. on Monday, October 20, 2008

Dr. Kamu -R- katika hafla ya jana iliyowajumuisha wadau wa karibu . Hafla ilifanyika eneo la Chofu hapa Japani Ilikuwa simulizi . Ungana nami , tembeza macho yako kwenye gulob ..

MC

Posted by BM. on Monday, October 20, 2008

MC wa shughuli ...Vunja mbavu!

Posted by BM. on Monday, October 20, 2008

Ilikuwa ishu..

Posted by BM. on Monday, October 20, 2008

Comrade Ndesika wis redi na kushoto Cheaman Dr. Simba

Posted by BM. on Monday, October 20, 2008

Posted by BM. on Monday, October 20, 2008

Nimekuona!

Posted by BM. on Monday, October 20, 2008

Sosi la nguvu tayari kunanihii,,

Posted by BM. on Monday, October 20, 2008

Hai tebo

Posted by BM. on Monday, October 20, 2008

Red Redi

Posted by BM. on Monday, October 20, 2008

Kula tumekula na kunywa tumekunywa Shukuran.

Posted by BM. on Monday, October 20, 2008

Napita katikati ya Shibuya jana kuwahi shughuli sehemu ..

Posted by BM. on Monday, October 20, 2008

Hatoki mtu !

Posted by BM. on Monday, October 20, 2008

Pozi ...Jana kulikuwa na nanihii kwa mdau mmoja kwenye waiti house yake na wadau walipendeza . Palikuwa hapatosi ...Pata tip chache taarifa zaidi baadaye.

Posted by BM. on Monday, October 20, 2008

Inapendeza..Wadau muhimu katika hafla ..kulia mwenyeji!

Posted by BM. on Monday, October 20, 2008

Picha zaidi ...vuta subra!

Posted by BM. on Monday, October 20, 2008

Bango la kuingilia uanjani Yoyogi Natioanal Park

Posted by BM. on Monday, October 20, 2008

Nilikuwepo..na nikajipatia sambusa..

Posted by BM. on Monday, October 20, 2008

Menyu ya leo...naulizia juisi ya ukwaju ipo?