Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Tuesday, August 18, 2009

Hapo safi...Kumbukumbu nzuri Hee imetoka..
saafiii
Jana nilipata wageni katika ofisi NHK, Mwanafunzi anayesomea masuala ya uhusiano wa kimataifa katika Chuo Kikuu cha Asia Pacific hapa Japani Jonas Songora akiwa ameambatana na Mtanzania anayeishi hapa Tokyo Bi.Grace.Picha muda mfupi kabla hawajaondoka jengoni.

0 comments: