Tamasaha la watu wa Indonesia lilifanyika jijini Tokyo mwishoni mwa wiki hii...Vyakula vya Kiindo, mavazi na burudani ya muziki ilikuwepo. Palikuwa hapatoshi..
Jukwaa kuu muziki ulikuwa ukihanikiza watazamaji.
Kijua kiliwaka ...lakini ilikuwa ndio sehemu ya starehe...
VITONGOJI VYOTE 64,359 VITAKUWA NA UMEME IFIKAPO 2030
19 minutes ago
0 comments:
Post a Comment