Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Monday, January 04, 2010

Mdau Malkiory Matiya kushoto hapo muda mfupi baada ya kukabidhiwa nondo zake(M.Sc in Public Health) katika Chuo Kikuu cha Tampere, Finland . Wenzake hapo ni katikati M-Nigeria( Bioinformatics) na M-Cameroon( Bioinformatics). Badala ya joho huko ufini graduation husherekewa kwa suti nyeusi, ua na wine nyepesi.Take five Bro...Nje ya jengo la Sherehe kukoje...Kibaridi! Barafu inadondoka...hiki kibaridi lawama!Thanx Matiya.

0 comments: