Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Monday, March 22, 2010


Taswira kutoka Dirisha la Jengo la Shirika la Utangazaji la Japani-NHK upande wa kusini...leo(J3) kulikuwa na kijua hapa na joto lilifikia 12C , ahueni kidogo. Na ilikuwa mapumziko kuyaaga majira ya baridi!

0 comments: