Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Tuesday, March 23, 2010Umeelewa mada?

2 comments:

Anonymous said...

Mdau nioshe uso kwenye taswira hii ambayo yaonekana inatokea huko Kenya lakini maelezo yake umeyahifadhi.

Anonymous said...

Kwa hakika ni pilika pilika za kisiasa za Kenya ambazo zinafanana kwa kiasi fulani na Tanzania na Uganda. Wanasiasa wanacheza na maneno na kujaribu kuonekana wako sahihi kwa wapigakura kuliko wengine. Afrika kwa ujumla tuna rasilimali akili nyingi tu za kisiasa lakini nadhani tatizo ni tutumie kipande kipi kwanza ndipo tunapokwama.