nilikwenda eneo linaitwa Hiro-o hapa Tokyo hapo kuna vyakula vinavyofanana na nyumbani...ilikuwa ka-shopping fulani . Nilipata unga wa ugali na ndizi za matoke. Ilikuwa siku njema.
Virutubisho vitano muhimu wanavyohitaji wanawake
2 hours ago
0 comments:
Post a Comment