Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Sunday, March 21, 2010

Kila uchao mambo ya kibiashara yanabadilika hapa Toyo. Jamaa wameamua kutangaza biashara zao kwa matarumbeta . Bango linakuelekeza ghorofa ya pili eneo la jirani ukapate hicho kinachotangazwa. lakini Muziki kusikiliza bureee!

3 comments:

Anonymous said...

Ahaa!Japani nako "machinga" kama bongo au ndiyo ni nini tena hapa waungwana.Tafadhali sana wadau niosheni uso.

-------------------
R.Njau
Dar-TZ.

Anonymous said...

Umachina upo kwa sana tu, lakini umachinga huu wa "Kijapani", wanagawa vipeperushi na kama chakula wanakuonjesha hawakushiki shati kama darajani manzese. inapendeza.

Anonymous said...

That is good,very good!