Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Monday, March 22, 2010


Menyu ya leo ; Baada ya kupitisha macho , supu yenye mayai ya kuchemsha ...Muonekano wake tu ndio ulionivutia...nimekwepa sushi..(Samaki wabichi na madonge ya wali)


Hebu kisia ladha yake!bila shaka utasema...


Supu ilikuwa nzuri ...Wajapani wataalamu katika idara hii...

0 comments: