Kikosi cha kupambana na rushwa jijini Nairobi , Kenya kimewakamata baadhi ya Maafisa wa Polisi wa usalama barabarani kwa kudai na kupokea rushwa. Baada ya kukithiri kwa malalamiko ya hawa jamaa kuendesha maisha yao kwa vitesho na ujanja ujanja kama ilivyo TZ hivi sasa , wakajifanya ni katika wasafiri katika gari ndogo ya kibinafsi. Polisi mmoja wa kike hakujua kuwa ulikuwa mtego akataka kitu kidogo...yaliyomkuta unaweza kuangalia picha...
Hivi sasa Taasisi hiyo huko Kenya imepata uongozi mpya chini ya Dr. PLO Lumumba na wameaapa kuhangaika na wala rushwa nadhani tuna cha kuiga ili watu hasa wanaowakilisha dola waiogope rushwa...au!
Ni hapa...
Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!
Posted by
BM.
on
Saturday, October 02, 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
3 comments:
Msulwa, hii clip ni sawa kabisa, musuli. Lakini maeleso yako imejaa utani na unafiki. Sielewi if you mean what you have bolded.
We anonymous, usipende kukupuka kama mwendawazimu hata kwa mambo yanayojenga.
Asante Msulwa kwa mchango huu positive.
Mh. Anonymous, nimekuelewa nimeondoa bold...
Post a Comment