Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Monday, May 23, 2011

Mmoja wa wawakilishi wa Tanzania katika jumba la bigbrother huko Afrika Kusini, bibie Locus amejikuta akitolewa nje baada ya kushindwa kuzuia ghadhabu yake kwa kumzaba kibao mshiriki mwenzake kutokafrika Kusini, baada ya kutupana maneno kwa dakika kadhaa. unaweza kusikiliza hapo na kuamua nani mkosaji!

1 comments:

malkiory matiya said...

Huyu dada mwenye mdomo mchafu ni Mtanzania? nimeshangazwa sana na tabia yake ya ubabe, pengine ni bangi zinamsumbua!