Kampuni maarufu ya vifaa vya elekroniki nchini Japani ya Fujitsu has imetengeneza kile ambacho imekiita Komputa iliyo ndogo kuliko zote ulimwenguni ya Windows 7.
Komputa hiyo aina ya FMV Loox F-07C ina vifaa vya kifanyisi cha Intel Atom pamoja na LCD ya inchi nne pamoja na kina kidude kinachofanya kazi kama smartphone.
Komputa hii ya aina yake itaanza kuwa madukani katikati ya mwezi huu na bei yake ni ghali kidogo takriban Yeni elfu 80 (Sawa na fedha za kitanzania millioni moja, laki nne na 40) (1Y~Tsh. 18)
Ni hapa...
Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!
Posted by
BM.
on
Thursday, June 02, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment