Ni hapa...
Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!
Posted by
BM.
on
Thursday, May 14, 2009
Mvua zinanyesha kwa wingi hivi sasa jini Mwanza na athari yake inaonekana kwenye miundombinu...Tatizo ni hakuna wahandisi wanaoweza kutanzua hili sio tu Mwanza kote likiwemo jiji la Dar es salaam au wakubwa wako kwenye strateji ya mikakati bado?
Posted by
BM.
on
Thursday, May 14, 2009
Matokeo ya miundombinu mibovu..
Posted by
BM.
on
Tuesday, May 12, 2009
Juma Nkamia (L) na Petr Omari (R) jijini Tanga hivi karibuni katika mkutano wa waandamizi.
Posted by
BM.
on
Tuesday, May 12, 2009
Peter Omari na vedasto Msungu wakiwa jiji Tanga...Kunani?
Posted by
BM.
on
Tuesday, May 12, 2009
Jijini Tanga kulikuwa na mkutano muhimu wa siku tatu uliowakutanisha waandishi wa habari waandamizi kuzungumzia masuala ya Mfuko wa Bima ya afya . Mkutano huu ulifanyika katika hoteli hiyoo hebu wafuatilie wadau kwa njia ya picha!
Posted by
BM.
on
Tuesday, May 12, 2009
Charles Hillila -Channel 10 Shy na Int.P.P.O
Posted by
BM.
on
Tuesday, May 12, 2009
Shaaban Kisu katikati na wadau waandamizi..
Posted by
BM.
on
Tuesday, May 12, 2009
William Mngazija (Kulia) na Int.PP.O na V
Posted by
BM.
on
Tuesday, May 12, 2009
Mduara..
Posted by
BM.
on
Tuesday, May 12, 2009
Posted by
BM.
on
Monday, May 11, 2009
Mh. Raisi akizirudi...siku chache kabla hajatangazwa kuwa kiongozi wa taifa la Afrika ya Kusini...bila shaka ata..miss vitu kama hivyo. Huo ulikuwa wimbo wa uhamasishaji wa kupinga ubaguzi unaitwa Bring Me My Machine Gun, ....Nipe bunduki yangu!
Posted by
BM.
on
Monday, May 11, 2009
Raisi mteule wa Afrika Kusini Jacob Zuma akila kiapo kulitumika taifa jilo kwa uaminifu katika sherehe iliyofanyika katika jengo la Umoja huko Pretoria.
Posted by
BM.
on
Monday, May 11, 2009
Mzee Madiba , Nelson Mandela akiwa na mkwe Graca Machel wakati wa kuapishwa Jacob Zuma.
Posted by
BM.
on
Monday, May 11, 2009
Nyumbani kwa Raisi wa S.A Jacob Zuma eneo lenye uzio karibu na mji wa Kwazulu Natal kijiji cha Nkandla.Unasemaje!
Posted by
BM.
on
Monday, May 11, 2009
Mwanafunzi mmoja wa chuo kikuu cha Kansas University cha nchini Marekani raia wa Uturuki amehukumiwa adhabu ya kifungo cha mwezi mmoja jela na kufukuzwa nchini Marekani baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka mbwa wake kwa muda wa mwezi mmoja.
Cem Basoflas, mwanafunzi wa chuo kikuu cha Kansas University cha nchini Marekani mwenye umri wa miaka 20 toka nchini Uturuki amepatikana na hatia ya kumlawiti mbwa wake kwa muda wa mwezi mmoja na baadae kuutupa mwili wa mbwa huyo baada ya mbwa huyo kufariki.Cem aligundulika kufanya unyama huo kwa wanyama baada ya wajenzi walioenda kwaajili ya kuikarabati nyumba yake kugundua michirizi mikubwa ya damu kwenye nyumba hiyo na kuwataarifu polisi.Baada ya polisi kufika na kufanya uchunguzi wao, waligundua kwamba damu hiyo ni ya mbwa na baada ya uchunguzi zaidi walifanikiwa kuipata maiti ya mbwa huyo katika sehemu ambayo hawakuitaja.Maiti ya mbwa huyo baada ya kufanyiwa uchunguzi iligundulika kuwa mbwa huyo alifariki baada ya kuteswa na kulawitiwa kwa muda mrefu.Cema alikiri makosa yake na kupewa adhabu ya kwenda jela mwezi mmoja, faini ya dola 4873 na akitoka tu jela atarudishwa kwao nchini Uturuki.